Tanzania Insurance Regulatory Authority TIRA MIS

About TIRA MIS

TIRA MIS is a portal that manages motor insurance stickers and their respective cover notes. Using this Portal, an insurer, broker and agent is able to complete and submit information regarding motor insurance sticker and its cover note issued at a particular time on-line. Moreover, all stakeholders are able to verify the issued stickers and respective cover notes on-line by clicking the link “Validate Motor Insurance Sticker” OR Sending a short message to 15200 with a word STICKER followed by MOTOR INSURANCE STICKER NUMBER (e.g. STICKER 8829537).

Login Information Forgotten Password

Kuhusu TIRA MIS

TIRA MIS ni mfumo-tovuti unayohusika na kuhifadhi taarifa za stika za bima za vyombo vya moto (pikipiki, magari nk). Kwa kutumia tovuti hii, shirika, dalali au wakala wa bima huwakilisha taarifa za bima ya chombo cha moto kwa kutumia stika husika aliyopewa na Mamlaka ya Bima aliyouza kwa mteja katika muda husika. Aidha, wadau wote wa bima wanaweza kuthibitisha uhalali wa stika na kupata taarifa za bima husika kupitia tovuti hii kwa kubonyeza link hapo chini “Hakiki Stika ya Bima” au kwa ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa kutuma neno STIKA acha nafasi ikifuatiwa na namba ya NAMBA YA STIKA kisha tuma kwenda 15200 (Mfano: STIKA 8829537).

 Hakiki Hati ya Bima|Validate Insurance Cover Note

Mtumiaji wa huduma ya bima ya vyombo vya moto hakiki taarifa zako mara baada ya kupatiwa hati ya bima. Uhakiki huu utakupa taarifa za uhalali wa stika ya bima pamoja na hati ya bima.