TIRA MIS
Login Information
Kuhusu TIRA MIS
TIRA MIS ni mfumo-tovuti unayohusika na kuhifadhi taarifa za stika za bima za vyombo vya moto (pikipiki, magari nk). Kwa kutumia tovuti hii, shirika, dalali au wakala wa bima huwakilisha taarifa za bima ya chombo cha moto kwa kutumia stika husika aliyopewa na Mamlaka ya Bima aliyouza kwa mteja katika muda husika. Aidha, wadau wote wa bima wanaweza kuthibitisha uhalali wa stika na kupata taarifa za bima husika kupitia tovuti hii kwa kubonyeza link hapo chini “Hakiki Stika ya Bima” au kwa ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa kutuma neno BIMA acha nafasi ikifuatiwa na namba ya NAMBA YA CHOMBO CHA MOTO kisha tuma kwenda 15200 (Mfano: BIMA T123ABC).

 Hakiki Hati ya Bima|Validate Insurance Cover Note

Mtumiaji wa huduma ya bima ya vyombo vya moto hakiki taarifa zako mara baada ya kupatiwa hati ya bima. Uhakiki huu utakupa taarifa za uhalali wa stika ya bima pamoja na hati ya bima.